Mali-market ni jukwaa la kidigitali lililo undwa na wanafunzi wa mwaka wa pili kwenye somo
la Enterpreneourship skill kwa lengo la kurahisisha ununuzi wa bidhaa ndogondogo za nyumbani
hivo tuna kukaribisha kuungana nasi kwa huduma bora na ya kisasa bila kupoteza mda wako.
Washiriki wa kazi hii ni:
1.Abdallah Shaha
2.Ali Abdallah
3.Mwatima Yusuph
4.Fathiya Mussa
5.Asia Rajab
Ofisi zetu ni kompyuta zetu ,tunapatikana Chwaka zanzibar au katika Chuo Kikuu Cha Zanzibar Kampasi ya Biashara. Unaweza kutupata kwa:
Simu: 0783 172 101 au
www.mali-market@gmail.com
1. Chagua idadi ya bidhaa kisha bonyeza 'Agiza'.
2. Bonyeza kikapu cha njano chini kulia kuona oda zako.
3. Bonyeza 'Tuma Oda' ili kumtumia admin ujumbe wa WhatsApp.